Kiwudu

Kiwudu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo inayozungumzwa na Wawudu. Idadi ya wasemaji wa Kiwudu imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwudu iko katika kundi la Kikwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy