Kixiri

Kixiri ni lugha ya Khoisan nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Waxiri. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kixiri imehesabiwa kuwa watu 87 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kixiri kiko katika kundi la Kikhoekhoe.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy