Kiyemsa

Kiyemsa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wayem. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiyemsa imehesabiwa kuwa watu 92,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyemsa iko katika kundi la Kiomotiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy