Kiyom

Kiyom ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wayom. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiyom imehesabiwa kuwa watu 74,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyom iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy