Kizari

Kizari ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wazari. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kizari imehesabiwa kuwa watu 20,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizari iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy