Kizauzou

Kizauzou ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wanu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kizauzou imehesabiwa kuwa watu 2100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizauzou iko katika kundi la Kingwi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy