Kizay

Kizay ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wazay. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kizay imehesabiwa kuwa watu 4880. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizay iko katika kundi la Kisemitiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy