Kizazao

Kizazao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wazazao kwenye kisiwa cha Santa Isabel. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kizazao imehesabiwa kuwa watu kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizazao iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy