Kizhaba

Kizhaba ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhaba. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kizhaba imehesabiwa kuwa watu 7800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhaba iko katika kundi la Kiqiangiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy