Kizhuang-Yongnan

Kizhuang-Yongnan ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kizhuang-Yongnan imehesabiwa kuwa watu milioni 1.8 nchini Uchina na watu 10,000 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhuang-Yongnan iko katika kundi la Kitai ya Kati.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy