Kizimakani

Kizimakani ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wazimakani. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kizimakani imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizimakani iko katika kundi la Kimarind.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy