Landrada

Mt. Landrada akifundisha wajane na watoto.

Landrada (karne ya 7; Ubelgiji, 690/708[1][2]) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kukataa kuolewa, kwa msaada wa askofu Lambati wa Maastricht, alianzisha monasteri katika eneo la Ubelgiji wa leo [3] akaiendesha kama abesi hadi kifo chake[4].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Julai[5].

  1. Dunbar, Agnes B.C. (1901). A Dictionary of Saintly Women. Juz. 1. London: George Bell & Sons. uk. 455.
  2. Baring-Gould, p. 191
  3. Mulder-Bakker, Anneke B. (2002). "Saints without a Past: Sacred Places and Intercessory Power in Saints' Lives from the Low Country". Katika Mulder-Bakker, Anneke B. (mhr.). The Invention of Saintliness. New York: Taylor & Francis. ku. 38–39. ISBN 0-415-26759-5.
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/61230
  5. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy