Mariakani

Mariakani


Mariakani
Nchi Kenya
Kaunti Kilifi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 89,321

Mariakani ni mji wa Kenya katika kaunti ya Kilifi, mpakani mwa kaunti ya Kwale. Ni kata ya eneo bunge la Kaloleni[1].

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 89,321[2].

  1. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
  2. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy