Nduni

Nduni ya Gimp inaitwa "Distress Selection"

Katika utarakilishi na programu tete, nduni (kwa Kiingereza: feature) kwa mujibu wa "Institute of Electrical and Electronics Engineers" (kwa Kiswahili: Chuo cha wahandisi wa umeme na elektroniki) ni sifa bainifu ya programu; kwa mfano, utendaji, vitu vinavyoweza kubebwa (uwezo), au utumizi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy