Wakaguru

Mnara wa saa katika mkoa wa Morogoro

Wakaguru (au Wakagulu[1]) ni kabila la watu wa Tanzania ambalo ni mojawapo ya makabila makuu katika mkoa wa Morogoro[2]. Huko wanaishi hasa katika wilaya za Kilosa na Gairo. Pia wako katika mkoa wa Dodoma (Mpwapwa na Kongwa), Mkoa wa Manyara (Kiteto) na sasa wanatanuka zaidi maeneo ya Handeni na Kilindi mkoani Tanga.

Lugha yao ni Kikagulu.

Mtawala wao hujulikana kwa jina la Mundewa. Na wanamwabudu mungu wao anayejulikana kwa jina la Mulungu/Mateke/Mundewa.

  1. Lugha yao haina "r" ila "l"; vilevile haina "z" ila "z"; pia haina "v" ila "f" (mfano fiasi ikiwa na maana ya viazi)
  2. Wakagulu

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy