Wakimbu

Wakimbu ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi mpakani mwa mikoa mitatu, yaani Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Singida na Mkoa wa Mbeya,[1] hasa kwenye Wilaya ya Sikonge, Wilaya ya Manyoni na Wilaya ya Chunya. Lugha yao ni Kikimbu.[2][3]

  1. "Kimbu Tribe | Mbeya Cultural Tourism » Travel information". Travel information (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-01-13.
  2. "Kimbu | people | Britannica". www.britannica.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-01-13.
  3. Shorter, Aylward (1969). "Religious Values in Kimbu Historical Charters". Africa: Journal of the International African Institute. 39 (3): 227–237. doi:10.2307/1157994. ISSN 0001-9720.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy