Wamadi

Mwanamume Mmadi mwishoni mwa miaka ya 1870 huko Sudan Kusini.

Wamadi ni kabila la watu wanaoishi kaskazini mwa Uganda (Wilaya ya Adjumani na Wilaya ya Moyo) na kusini mwa Sudan Kusini.

Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 400,000.

Lugha ya wengi wao ni Kimadi (Madi ti), mojawapo kati ya lugha za Kisudani na leo dini yao ni Ukristo, lakini pia Uislamu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy