Wandendeule

Wandendeule ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Ruvuma, hasa maeneo ya wilaya ya Namtumbo.

Lugha yao ni Kindendeule.[1]

  1. "Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania". www.tpdf.mil.tz. Iliwekwa mnamo 2024-01-13.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy