Wavinsenti

Wavinsenti ni Wakristo wa Kanisa Katoliki na wa Ushirika wa Anglikana wanaofuata karama, mafundisho na mfano vya Vinsenti wa Paulo, padri wa karne ya 17 aliyebadili sura ya nchi yake, Ufaransa, hasa kwa kuhudumia kwa upendo watu fukara.

Ni kati ya familia za kiroho kubwa zaidi duniani.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy