Abeokuta

Muonekano wa mjini wa Abeouta kutoka juu ya OlumoRock
Muonekano wa mjini wa Abeouta kutoka juu ya OlumoRock

Abeokuta ni mji wa jimbo la Ogun nchini Nigeria.

Mwaka 2022 umekadiriwa kuwa na wakazi 593,100[1].

  1. https://worldpopulationreview.com/countries/cities/nigeria

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy