Alabama








Alabama

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Montgomery
Eneo
 - Jumla 135,765 km²
 - Kavu 131,426 km² 
 - Maji 4,338 km² 
Tovuti:  http://www.alabama.gov/

Alabama ni jimbo la kujitawala la Muungano wa Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Montgomery na mji mkubwa jimboni ni Birmingham. Alabama imepakana na Tennessee, Georgia, Florida na Mississippi. Upande wa kusini ni maji ya Ghuba ya Meksiko. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu mil. 4,661,900 (2008) wanaokalia katika eneo la 135,765 km² ambalo ni hasa milima na jangwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy