Anthropolojia ni fani ya elimu inayochunguza pande zote binadamu kuanzia wale wa kale[1][2][3].
Matawi yake mbalimbali yanachunguza maisha ya jamii, utamaduni pamoja na taratibu na tunu, athari ya lugha, mabadiliko ya kimwili n.k.[1][2][3]
Kwa vyovyote, anthropolojia inahitaji ushirikiano wa sayansi mbalimbali, ikiwemo teolojia.
Akiolojia inaweza kutazamwa kama sehemu ya anthropolojia (k.mf. Marekani[4] ) au ya historia, lakini pia kama fani ya pekee (k.mf. Ulaya).
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)