Arkansas

Moja ya sehemu inayopatikana ndani ya Jimbo la Arkansas








Arkansas

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Little Rock
Eneo
 - Jumla 137,732 km²
 - Kavu 134,856 km² 
 - Maji 2,876 km² 
Tovuti:  http://www.arkansas.gov/

Arkansas ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,855,390 (2007) wanaokalia eneo la 137,002 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Missouri, Tennessee, Mississippi, Louisiana, Texas na Oklahoma. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Little Rock (jabali mdogo).


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy