Arubaini

Arubaini au arobaini (kutoka neno la Kiarabu أربعون) ni namba inayoandikwa 40 kwa tarakimu za kawaida na XL kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 39 na kutangulia 41.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 5.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy