Arubaini na mbili

Arubaini na mbili au arobaini na mbili ni namba inayoandikwa 42 kwa tarakimu za kawaida na XLII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 41 na kutangulia 43.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 3 x 7.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy