Arubaini na moja

Arubaini na moja au arobaini na moja ni namba inayoandikwa 41 kwa tarakimu za kawaida na XLI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 40 na kutangulia 42.

41 ni namba tasa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy