Australia ya Magharibi

Palipo na doa jekundu ndiyo ukubwa wa eneo la Australia ya Magharibi

Australia ya Magharibi (Kiing.: Western Australia) ni moja ya jimbo 8 ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,163,200. Mji wake mkuu ni Perth.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy