Baba

Baba akiwa amempakata mtoto, Dhaka, Bangladesh.

Baba ni mwanamume aliyemzaa mtoto au anamlea.

Katika uzazi, baba ndiye anayesababisha jinsia ya mtoto kwa kumrithisha kromosomu Y (mtoto wa kiume) au kromosomu X tu (mtoto wa kike).

Saikolojia inaonyesha pia umuhimu wa kuwepo kwa baba mwenye pendo, akishirikiana na mama, katika kukua kwa mtoto.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy