Bahari ya Alboran

Bahari ya Alboran ni bahari ya pembeni ya Atlantiki.

Bahari ya Alboran ni sehemu ya magharibi kabisa ya Bahari ya Mediterania, iliyoko kati ya Peninsula ya Iberia na kaskazini mwa Afrika (Uhispania kaskazini na Morocco na Algeria kusini). Mlango wa Gibraltar, ambao uko katika mwisho wa magharibi wa Bahari ya Alboran, unaunganisha Mediterania na Bahari ya Atlantiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy