Bahari ya Sulu

Bahari ya Sulu kati ya Borneo na Ufilipino.
Papa anayepatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Twanga ya Tubbataha, Bahari la Sulu, Ufilipino.

Bahari ya Sulu (kwa Kifilipino; Dagat ng Sulu; kwa Kiingereza: Sulu Sea) ni sehemu ya Bahari Pasifiki iliyopo kati ya Ufilipino na kaskazini mashariki mwa kisiwa cha Borneo (sehemu ya Malaysia), ikipakana upande moja na funguvisiwa la Sulu (ng'ambo yake Bahari ya Celebes) na kwa upande wa kaskazini mashariki na kisiwa cha Palawan (ng'ambo yake Bahari ya Kusini ya China). [1] [2]

  1. "Coron Bay, Philippines : UnderwaterAsia.info". www.underwaterasia.info. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 23 Aprili 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Sulu Sea, Philippines : UnderwaterAsia.info". www.underwaterasia.info. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 23 Aprili 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy