Bahi

Bahi ni kata ya Wilaya ya Bahi katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41301[1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 31,410 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,293 [3] waishio humo.

Mji wa Bahi unapitiwa na barabara kuu iendayo Rwanda. Pia una stesheni ya treni.

  1. โ†‘ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. โ†‘ https://www.nbs.go.tz
  3. โ†‘ "Sensa ya 2012, Dodoma - Bahi DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.

From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy