Benin

Jamhuri ya Benin
République du Bénin (Kifaransa)
Kaulimbiu ya taifa:
Fraternité, Justice, Travai (Kifaransa)
"Udugu, Haki, Leba"
Wimbo wa taifa: L'Aube nouvelle (Kifaransa)
"Mapambazuko mapya"
Mahali pa Benin katika Afrika ya Magharibi
Mahali pa Benin katika Afrika ya Magharibi
Ramani ya Benin
Ramani ya Benin
Mji mkuuPorto-Novo
6°29′ N 2°37′ E
Mji mkubwa nchiniCotonou
6°22′ N 2°27′ E
Lugha rasmiKifaransa
Idadi ya watu
 • Kadirio la 202314 219 908[1]


Benin, kirasmi Jamhuri ya Benin, ni nchi huru katika Afrika ya Magharibi. Awali iliitwa Dahomey.

Inapakana na Bahari ya Atlantiki upande wa Kusini, nchi ya Togo upande wa Magharibi, nchi ya Nigeria upande wa Mashariki na nchi za Burkina Faso na Niger upande wa Kaskazini.

Haihusiani na Mji wa Benin (Benin City) wala na Ufalme wa Benin wa karne ya 19.

  1. "Benin". The World Factbook (kwa Kiingereza) (toleo la 2024). Shirika la Ujasusi la Marekani. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy