Bobo-Dioulasso

Bobo-Dioulasso ni mji wa Burkina Faso katika mkoa wa Hauts-Bassins.

Idadi ya wakazi ilikuwa 904,920 wakati wa sensa ya mwaka 2019[1].

  1. https://www.citypopulation.de/en/burkinafaso/cities/

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy