Colorado | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Denver | ||
Eneo | |||
- Jumla | 269,601 km² | ||
- Kavu | 268,627 km² | ||
- Maji | 974 km² | ||
Tovuti: http://www.colorado.gov/ |
Colorado ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika magharibi kati ya Marekani bara. Mji mkuu na mji mkubwa jimboni ni Denver. Jimbo lina wakazi 4,939,459 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 269,837. Colorado imekuna jimbo la Marekani tangu 1876.
Imepakana na Wyoming, Nebraska, Kansas, Oklahoma, New Mexico (Meksiko Mpya) na Utah.
Mto mkubwa ni Mto Colorado.