Colorado

Tambarare za juu za ukame huko Southeastern Colorado








Colorado

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Denver
Eneo
 - Jumla 269,601 km²
 - Kavu 268,627 km² 
 - Maji 974 km² 
Tovuti:  http://www.colorado.gov/

Colorado ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika magharibi kati ya Marekani bara. Mji mkuu na mji mkubwa jimboni ni Denver. Jimbo lina wakazi 4,939,459 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 269,837. Colorado imekuna jimbo la Marekani tangu 1876.

Imepakana na Wyoming, Nebraska, Kansas, Oklahoma, New Mexico (Meksiko Mpya) na Utah.

Mto mkubwa ni Mto Colorado.

Colorado na Milima ya Miamba (Rocky Mountains)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy