Damaturu

Lango la Kuingia la Federal Polytechnic Damaturu
Lango la Kuingia la Federal Polytechnic Damaturu

Damaturu ni mji wa jimbo la Yobe, kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Mwaka 2016 idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 3,294,100.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy