Delta

Delta ya Mto Nile inavyoonekana kutoka angani - picha ya NASA

Delta (kutoka jina la herufi ya alfabeti ya Kigiriki) ni mdomo wa mto wenye umbo la kufanana na herufi ya Kigiriki Δ (=delta) sawa na pembetatu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy