Devanagari

Rigveda, example of abugida script

Devanāgarī ni mwandiko unaotumiwa kwa kuandika lugha za Uhindi Kaskazini kama vile Sanskrit, Kibangla, Kihindi, Kimarathi, Kisindhi, Kibihari, Bhili au Kinepali cha Nepal. Wakati mwingine hata Kikashmiri huandikwa nayo.

Devanagari huhesabiwa kati ya miandiko ya Abugida inayounganisha alama kwa herufi na alama kwa silabi. Mwandiko mtangulizi wake ulikuwa mwandiko wa Brahmi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy