Enugu

View of Enugu
Location of Enugu nchini Nigeria

Enugu (au Enugwu) ni mji mkuu wa jimbo la Enugu, Nigeria. Ina wakazi 2.388.862 (makisio ya 2007). Kwa kiasi kikubwa Watu wa Enugu wametoka katika kabila la Waigbo, moja ya makabila matatu makubwa nchini Nigeria.

Jina Enugu linatokana na maneno mawili ENU Igbo Ugwu, au "juu ya kilima." Alama ya mji huu ni kilele daima Kiburi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy