Familia pana

Familia pana.

Familia pana (kwa Kiingereza extended family) ni jamii iliyoundwa na ndugu wa vizazi kadhaa, kwa mfano babu, bibi, wazazi na watoto wao, au pia shangazi, mjomba, binamu n.k.[1], si wazazi na watoto peke yao kama familia nyuklia.

Katika nchi ambazo zinakubali mitara, familia zinaweza kuwa pana zaidi.

  1. Andersen, Margaret L and Taylor, Howard Francis (2007). The extended family may live together for many reasons, such as to help raise children, support for an ill relative, or help with financial problems. Sociology: Understanding a diverse society. p. 396 ISBN 0-495-00742-0

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy