Federal Capital Territory, Nigeria

Eneo la Shirikisho la Mji Mkuu nchini Nigeria

Federal Capital Territory ni eneo la mji wa Abuja, mji mkuu wa Nigeria.

Ilianzishwa mwaka wa 1976 kutokana na maeneo ya zamani ya Nasarawa, Niger, na Jimbo la Kogi.

Ipo katikati ya kanda ya nchi.

Kisheria ni tofauti kidogo na majimbo mengine ya Nigeria, ambayo yanaongozwa na Magavana waliochaguliwa, kumbe Eneo la Mji Mkuu wa Muungano na Utawala linaongozwa na waziri aliyechaguliwa na Rais.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy