Futari

Watu wakila futari pamoja.

Futari (kutoka neno la Kiarabu iftar) ni chakula maalum ambacho huliwa katika mwezi wa Ramadhani wakati wa jioni baada ya kufunga.

Ndiyo chakula cha pili cha siku; kufunga kwa kila siku wakati wa Ramadan huanza mara moja baada ya chakula cha asubuhi ya Suhur, ukamalizika wakati wa jioni na ndipo futari huliwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy