Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Georgia (maana)
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: ძალა ერთობაშია(Kigeorgia) "Nguvu ni Umoja" | |||||
Wimbo wa taifa: Tavisupleba ("Uhuru") | |||||
Mji mkuu | Tbilisi | ||||
Mji mkubwa nchini | Tbilisi | ||||
Lugha rasmi | Kigeorgia (pia Kiabkhazi katika Abkhazia) | ||||
Serikali | Jamhuri Salome Zourabichvili (სალომე ზურაბიშვილი) Irakli Kobachidze (ირაკლი კობახიძე) | ||||
Chanzo cha Taifa Kuanzishwa kwa Kolkhis na Iberia ya Kaukazi kama falme za kwanza katika Georgia Ufalme wa Georgia uliounganishwa Jamhuri ya kwanza ya Georgia Uhuru kutoka Umoja wa Kisovyeti Ilitangazwa Ilitambuliwa Ilikamilishwa |
mnamo2000 BC 1008 26 Mei 1918 9 Aprili 1991 6 Septemba 1991 25 Desemba 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
69,420 km² (ya 120) | ||||
Idadi ya watu - 2017 kadirio - 2014 sensa - Msongamano wa watu |
3,718,200[1] (ya 1311) 3,729,635 53.5/km² (137) | ||||
Fedha | Lari (ლ) (GEL )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
MSK (UTC+3) MSD (UTC+4) | ||||
Intaneti TLD | .ge | ||||
Kodi ya simu | +995
- | ||||
1 Population figure excludes Abkhazia and South Ossetia. |
Georgia (kwa Kigeorgia: საქართველო "Sakartvelo") ni nchi ya Kaukazi kati ya Ulaya na Asia kwenye mwambao wa Bahari Nyeusi.
Imepakana na Urusi, Uturuki, Armenia na Azerbaijan.
Georgia ina wakazi milioni 3.7. Zaidi ya milioni 1 hukaa mjini Tbilisi ambao ndio mji mkuu wa nchi.