Hamsini

Hamsini (kutoka neno la Kiarabu خمسون) ni namba inayoandikwa 50 kwa tarakimu za kawaida na L kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 49 na kutangulia 51.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 5 x 5.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy