Hamsini na moja

Hamsini na moja ni namba inayoandikwa 51 kwa tarakimu za kawaida na LI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 50 na kutangulia 52.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 17.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy