Hamsini na nne

Hamsini na nne ni namba inayoandikwa 54 kwa tarakimu za kawaida na LIV kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 53 na kutangulia 55.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 3 x 3 x 3.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy