Historia andishi

Maandishi ya Kisumeri ya karne ya 26 KK.

Historia andishi ni kipindi cha historia ya binadamu kuanzia walipobuni uandishi miaka 3,300 hivi KK huko Mesopotamia.

Hatua hiyo imewezesha kutunza kumbukumbu kwa makusudi na hivyo kuchangia sana maendeleo ya fani ya historia.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy