| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Libre, Soberana e Independiente | |||||
Wimbo wa taifa: „Tu bandera es un lampo de cielo“ (wewe bendera u nuru ya angani) | |||||
Mji mkuu | Tegucigalpa | ||||
Mji mkubwa nchini | Tegucigalpa | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali | Jamhuri, demokrasia Xiomara Castro | ||||
Uhuru Imetangazwa imetambuliwa |
15 Septemba 1821 1823 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
112,412 km² (ya 101) (kidogo sana) | ||||
Idadi ya watu - 2018 kadirio - 2022 sensa - Msongamano wa watu |
9,587,522 (ya 95) 9,540,539 84.72/km² (ya 128) | ||||
Fedha | Lempira (HNL )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .hn | ||||
Kodi ya simu | +504
- |
Honduras ni nchi ya Amerika ya Kati. Imepakana na Guatemala, El Salvador na Nikaragua. Upande wa kusini ina pwani fupi ya Pasifiki na upande wa kaskazini pwani ndefu ya Bahari ya Karibi.