Jermaine Dupri

Jermaine Dupri
Dupri mnamo 2012
Dupri mnamo 2012
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Jermaine Dupri Mauldin
Pia anajulikana kama J.D.
Amezaliwa 23 Septemba 1972 (1972-09-23)

Asheville, North Carolina

Asili yake Atlanta, Georgia, Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mtayarishaji wa rekodi, mtunzi wa nyimbo, rapa
Miaka ya kazi 1987–mpaka sasa
Studio So So Def Recordings, Island Urban Music, TAG Records[1]

Jermaine Dupri Mauldin (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Jermaine Dupri au J.D.; amezaliwa 23 Septemba 1972) ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa kama msanii bora wa rekodi, mtayarishaji, mtunzi wa nyimbo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani.

Amefanya kazi na wasanii kama Mariah Carey, Nelly, Janet Jackson, Chanté Moore, Tamia, Mya, Kris Kross, na wengine wengi tu, huko Marekani.

  1. Jermaine Dupri Tagged Prez Of New Hp-Hop Label

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy