Jua

Jua pamoja na madoa yake jinsi yanavyoonekana kwa darubini

Jua (alama: ☉) ni kitovu cha mfumo wa Jua wenye sayari nane, sayari vibete na magimba mengi madogo. Dunia ni sayari ya tatu katika mfumo huu. Jua ni nyota iliyo karibu na Dunia yetu kuliko nyota nyingine zote.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy